Warembo 20 kutoka wilaya za mkoa wa Shinyanga walioshiriki shindano la Miss talent Shinyanga 2014, ambao pia watashiriki shindano la kutafuta mrembo wa mkoa huo Juni 28,2014 mjini Kahama.
Wakazi wa shinyanga na maeneo ya jirani wakifuatilia yaliyokuwa yanajiri ukumbini.
Mrembo huyu alipanda jukwaani na mpira kuonesha kipaji chake cha kucheza
Mshiriki namba 6 akiwa juu ya jukwaa akicheza na nyoka(hayupo pichani)
Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea ukumbini kwenye shindano hilo.
Msanii wa taarabu Isha Mashauzi uakitoa burudani katika mashindano ya miss talent mkoa wa Shinyanga.
Washiriki walioingia tano bora katika shindano la kumsaka miss talent mkoa wa Shinyanga.
No comments:
Post a Comment