CHANJO YA SURUA INAYOSEMEKANA HAIKUWA SALAMA IMEUWA WATOTO ZAIDI YA 12
Watoto wafa kwa chanjo Syria
Taaarifa
kutoka syria zinasema zaidi ya watoto kumi na mbili wamekufa na wengine
kuugua baada ya kupewa chonjo ya surua inayosemakana kuwa haukuwa
salama
katika eneo linalodhibitiwa na waasi. Shirika la Uingereza
linahusika na uangalizi wa haki za binadamu nchini Syria limesema chanjo
hiyo ilitolewa katika maeneo ya vijijini kaskazini mwa Syria. Ugonjwa kama surua na polio umesambaa tangu kutokea kwa mafarakano miaka ya 2011. Huduma za afya zimevurugika sana nchini Syria. Wapinzani
kutoka chama Syrian National Coalition wa nchi hiyo wamesema
watasitisha mpango wa chanjo ya surua kufuatia vifo hivyo vilivyotokea. Via:bbc
No comments:
Post a Comment