
Hili
ni kundi jingine matata la ngoma kutoka wilayani Kishapu maarufu kwa
jina "Majembe".Hawa wanacheza kwa kutumia majembe.Pia wamejipatia
umaarufu sana maana wanaburudisha sana .
![]() |
Kundi la Majembe likitoa burudani,pasipo na vumbi panatoka vumbi. |
![]() |
Kikundi cha Majembe kikitoa burudani mjini Shinyanga.Hilo vumbi ni la kazi,majembe yanafanya kazi. |
No comments:
Post a Comment