Serikali imethibitisha kutokuwepo kwa ugonjwa wa Ebola hapa nchini.
Amesema tayari eneo maalumu limetengwa kwa ajili ya kufanyia uchunguzi wagonjwa wanaotiliwa shaka kuwa na ugonjwa huo.
Tayari Mafunzo yametolewa pia kwa wataalamu watakao hudumia wagonjwa iwapo watatokea.
No comments:
Post a Comment