Aliyeshikilia kofia ni Sebastian Peter aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo na Zacharia mfuko kata ya Masekelo wakiwa na viongozi wa Chadema kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya mahakama manispaa ya Shinyanga baada ya kuamua kurudi kwenye chama hicho na kuwaomba msamaha wanachama wawapokee kwani walidanganywa wakaaamuwa kujiudhulu udiwani ili waende chama kipya cha siasa kilichoanzishwa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzani.
|
Zacharia Mfuko aliyekuwa diwani wa kata ya Masekelo kupitia Chadema kabla ya kujiudhulu na kwenda CCM, akiwaomba msamaha
wanachama wa chadema na wananchi kwa ujumla ili wampokee baada ya kuamuwa kurudia.ambapo alisema nguvu za giza zilichangia kuwachanganya wakakisaliti chama na kukihama. |
|
Kushoto
ni Sebastian Peter aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga kabla ya kujiudhulu na kuhamia CCM,hapo jukwaani ni baada ya kuvua nguo za CCM na kurudi kwa mara nyingine tena CHADEMA na hapo anawaomba msamaha wanachama na wapenzi wa Chadema wampokee kwa mara nyingine tena.
Katibu
wa chadema mkoa wa Shinyanga na mwenyekiti wa wazee chadema
taifa Nyangaki Shilungushela akizungumza
katika mkutano huo ambapo alisema kilichotokea leo ni mchezo wa siasa
kwani katika siasa hakuna uadui wala urafiki leo yanatokea haya kesho
mengine ni utaratibu tu. Wananchi wa manispaa ya Shinyanga wakiwa eneo la mkutano viwanja vya mahakama kushuhudia kilichokuwa kikiendelea. |
|
|
|
No comments:
Post a Comment