Thursday, July 24, 2014

FUSO LA ANGUKA NA KUJERUHI WATU 29 WAWILI WAPOTEZA MAISHA LILIKUWA LINAENDA MNADANI

 Katika eneo la dharura katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambapo majeruhi 29 hadi sasa wamepokelewa kufuatia ajali ya gari aina ya fuso iliyokuwa imebeba watu wengi pamoja na mizigo kuelekea katika mnada wa Mhunze uliopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Alhamis. majeruhi wanaendelea kupatiwa matibabu.

Huduma ya matibu kwa majeruhi inaendelea.

Mmoja wa majeruhi akipatiwa matibabu na madaktari katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

Madaktari na manesi wakiendelea kutoa huduma ya matibabu kwa majeruhi.

Majeruhi akipelekwa wodini

Majeruhi wa ajali ya fuso.

No comments:

Post a Comment