Saturday, August 30, 2014

AFIKISHWA MAHAKAMANI MZEE WA MIAKA 54 KWA KOSA LA KUMUOA MTOTO WA MIAKA MINANE

 
Jeshi la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane. 

No comments:

Post a Comment