Tuesday, August 5, 2014

AJUZA SHABIKI WA KLABU YA COASTAL UNION KUCHANGIA KILO 100 ZA MCHELE TIMU HIYO.

Mwanachama mkongwe wa klabu ya Coastal Union mariam Jabir aliyehudhulia mkutano mkuu akiahidi kutoa mchele kilo 100 sehemu ya mchango wake mara wachezaji watakapo rejea kambini kwa mtanange.
 Mwanamke huyo ambaye ni mwanachama wa klabu hiyo tangu mwaka 1980 alipojiunga alitoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa klabu huko mkoani Tanga.


No comments:

Post a Comment