Thursday, August 7, 2014

UMESHAWAHI KUONA NGOMA HII,BONYEZA HAPA UONE TUKIO ZIMA


Watoto wakicheza ngoma ya asili maarufu kwa jina la kadete katika kijiji cha Mawemilu kata ya Mwakitolyo wilaya ya Shinyanga ,Ngoma hii inapendwa na wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa hususan kabila la wasukuma,hapo ilikuwa ni wakati wa kutoa burudani ya kumkaribisha mbunge wa jimbo la Solwa Ahmed Salum kwenye kijiji hicho.
Hapa wanatoka uwanjani baada ya kutoa burudani ambayo watu wengi waliipenda huku wengine wakishauri kipaji hicho cha watoto kinatakiwa kuendelezwa zaidi ili baadaye waweze kurekodi mkanda ambao utauzwa na fedha zitakazopatikana ziwasaidie kujiendeleza kielimu.



No comments:

Post a Comment