Makamu
wa chuo kikuu huria Tanzania kituo cha Shinyanga Pro Tolly Mbwette akizungumza na wageni waalikwa pamoja na wananchuo wakati wa uzinduzi wa kituo hicho ,ambapo alisema mfumo wa kupata elimu kwa masafa marefu
umeweza kudahili wanachuo zaidi ya 90,000 nchini, huku ikiwapa fursa ya
kuendelea na shughuli zao lakini kumekuwepo na changamoto katika mfumo
huo wa kupoteza udahili na chuo kuamua kuunda uongozi utakao toa
ushauri. ,Hivyo idadi ya wadahili imezidi kuongezeka na kuwaomba
wananchi wa mkoa wa Shinyanga kwenda na wakati kwa kupata mafunzo ya
TEHAMA ni muhimu ili kuendana na utandawazi. |
No comments:
Post a Comment