Sunday, November 2, 2014

MSHINDI WA SHINDANO LA KUMSAKA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 HUYU HAPA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilnI5D-WKAmhMaIVja-kkBccmhUhlykDTX8lH5iw5WfjV_t0ZK2pF_u4JqpIH5w3i_DRxgOicp1S50zKNTIGmlplWSnQXriQVIU0h33YH9JpEozX4HDn3s9buDk10qCKZ7rM408B-3dnQ/s1600/MMGM0343.jpg Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014,katika hafla iliyofanyika usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam.Picha na Othman Michuzihttps://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3SxDYyCDJpJNsz5YkXd4tHqmKyTQ8DoLe4dB38tSc-8fR8Roxac43MPbtS1nvuddUZF9h-eVjSfQeI55c-AEVwa-wzAjxedda1z16vvFOWSOZAlL6xgPWcvWahgOa9beNxzNagKR_jMc/s1600/MMGM0352.jpg
Mrembo Calorine Bernard akipongezwa na washiriki wenzake.


Mrembo Caroline Bernard usiku huu wa October 31 2014 ndio ametangazwa mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2014 ambalo washiriki wake wamekua sehemu ya headlines zenye kumbukumbu baada ya kuzitumia vizuri nafasi zao akiwemo Flaviana Matata.

Caroline ni mrembo mwenye umri wa miaka 20 na anatokea Dar es salaam ambapo wengine walioingia tatu bora kwenye hii event ya 2014 iliyofanyika Dar es Salaam ni Nale ambae ni mshindi wa pili na wa tatu ni Zara.
via:Eddy blog

No comments:

Post a Comment