Sunday, June 29, 2014

WILAYA YA KISHAPU YATWAA TAJI LA MISS SHINYANGA NA MISS TALENT



Hawa ndiyo washindi wa kinyanganyiro cha kumsaka miss Shinyanga 2014, Katikati ni mshindi wa kwanza  Nicole Sarakikya kutoka wilaya ya Kishapu ,kushoto ni mshindi wa pili  Mary Emmanuel (Ushetu ) na kulia ni mshindi namba tatu   Rachel Judica akiwakilisha halmashauri ya Shinyanga ambao pia watashiriki katika shindano la kutafuta mrembo wa kanda ya ziwa lililoandaliwa na Flora Salon.

  Majaji wakifuatilia kwa makini kilichokuwa kinajiri katika ukumbi wa NSSF mjini Kahama.Katikati ni chief judge Flora Lauo kutoka Mwanza,kushoto ni  bi Aneth Dotto kutoka Arusha Miss Shinyanga  mwaka 2003,kulia ni jaji Lutufyo Kanyenye.


Washiriki  walioingia 5 bora katika  shindano la Redd's Miss Shinyanga 2014 lililofanyika wilayani Kahama ,ambapo jumla  ya warembo 20 wa mkoa wa Shinyanga walikuwa wakiwania taji hilo.
Jukwaani ni Asela Magaka ambaye ni mkurugenzi wa Asela Promotions waandaaji wa mashindano ya Miss Shinyanga 2014 akimtangaza mshindi wa Shindano la kutafuta mrembo mwenye kipaji(Miss Talent Shinyanga 2014) lililofanyika mjini Shinyanga Juni 25,2014 katika ukumbi wa NSSF.

Jukwaani ni Asela Magaka ambaye ni mkurugenzi wa

 Miss Talent Shinyanga 2014 Irene Makwaiya kutoka wilaya ya Kishapu aliyeibuka na kitita cha shilingi 300,000/=
 

Waandishi wa habari kutoka Radio Kahama FM wakifuatilia kwa makini shindano lilivyokuwa likiendelea.
 
 Miss Shinyanga 2014 Nicole Sarakikya


            

No comments:

Post a Comment