Monday, July 21, 2014

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE BASI LA AM LAPATA AJALI MASWA NA KUJERUHUHI SITA

Basi la AM Coach likiwa eneo la tukio katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu


Taarifa zilizotufikia hivi Habari za hivi punde  zilizoufikia mtandao huu ni kwamba basi la AM COACH lililokuwa linatoka Meatu mkoani Simiyu  kwenda Mwanza limepinduka katika kijiji cha Sayusayu wilayani Maswa mkoani Simiyu.

Kwa mujibu wa habari kutoka eneo la tukio watu sita wamejeruhiwa na wamekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwani hali zao ni mbaya.

No comments:

Post a Comment