Saturday, July 5, 2014

TMF YAWAPA SOMO WAANDISHI WA HABARI JUU YA KUIBUWA CHANGAMOTO ZA VIJIJINI

Waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi wa chama cha walimu Tanzania kwa ajili ya kupatiwa mafunzo na mfuko wa vyombo  vya habari Tanzania TMF ,ambapo wawezeshaji wa mafunzo hayo waandishi wakongwe waliobobea katika tasnia ya habari Ndimara Tegabwage na Edda Sanga waliwataka waandishi wa habari kuhakikisha wanaibua changamoto mbalimbali zilizoko vijijini ili wazifanyie kazi jamii iweze kupata eulewa.                               Pia waliwataka  kutokata taamaa pindi pindi wanapotuma maombi TMF na kushindwa kufanikiwa na kuwashauri kurudia kwa mara nyingine tena kwani fedha hizo zinatolewa na wafadhili kwa ajili yao.
Kulia ni mwandishi wa habari mkongwe Edda Sanga akimsikiliwa mwandishi wa habari wa Radio Faraja Veronica Natalis akiwasilisha wazo lake la habari alililoandaa kwa ajili ya kufanyia uchunguzi.
Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea.
Mafunzo yanaendelea
Waandishi wa habari wakiendelea kufuatiia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa.


Mafunzo yanaendelea

Kushoto ni mwezeshaji wa mafunzo hayo mwandishi wa habari mkongwe wa miaka mingi Ndimara Tegambwage akiwa na afisa kutoka TMF Japhet Sanga.
Waandishi wa habari wakifuatiia mafunzo ya TMF.
Waandishi wa habari wakijiandaa kuwasilisha wazo la habari la kiuchunguzi kwa magwiji wa tasnia ya habari ambao waliambatana na TMF.
Mahojiano yanaendelea kwa washiriki kwenda mmoja mmoja kuwasilisha wazo la habari la kiuchunguzi






























No comments:

Post a Comment