Tuesday, November 25, 2014

SHUHUDIA AJALI YA TOYOTA HAICE ILIYOUWA WATU TISA NA KUJERUHI WENGINE TISA SHINYANGA HII LEO

Toyota haice yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama kuelekea mjni Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija manispaa  ya Shinyanga na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa,baada ya kupinduka mara  tatu baada ya kuvuka tuta kisha kugonga daraja na kuangukia mtaroni,chanzo
chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo Anwar  Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia.
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.
Gari likitolewa kwenye mtaro ni baada ya kuuwa watu tisa ambapo watano walikufa papo hapo .

  Wananchi wakiwa eneo la tukio




No comments:

Post a Comment